KAROTI
TATUA
MATATIZO KWENYE MWILI WAKO KWA KUTUMIA KAROTI,
KAROTI
HUTIBU MATATIZO YAFUATAYO,
·
Kulainisha
tumbo
·
Inapigana
na kutibu upungufu wa damu
·
Uvimbe
wa saratani
·
Baridi
yabisi
·
Kusafisha
damu
·
Vidonda
vya tumbo
·
Kutibu
chunusi
·
Macho
·
Koo
·
Kibofu
MATAYARISHO
Chukua
karoti kilo moja ponda au twanga iwe laini chemsha dakika 15 ndani ya maji lita
1
au mbili , chuja kunywa juice yake kwavidonda vya
tumbo na saratani ya tumbo au saratani ya kizazi tumia nusu kikombe cha chai
miezi 3 mpaka 6.
Kwa ajili ya
kurembesha uso, nawia juisi yake kila asubuhi mfululizo kwa siku tano

No comments:
Post a Comment